Kiribati

Kiribati ni nchi ya visiwani ya Polynesia na Mikronesia katika Pasifiki karibu na ikweta yenye wakazi 100,000 hivi.

Kiribati

Eneo lake ni visiwa 33 vilivyosambaa kwa 5,200,000 km². Visiwa 32 vimepangwa katika vikundi vinne:

  • Visiwa vya Gilbert (visiwa 16)
  • Visiwa vya Phoenix (visiwa 8)
  • Visiwa vya Line 8

Mji mkuu wa Bairiki uko kwenye kisiwa cha Tarawa.

Kiribati
Ramani ya Kiribati

Jiografia

Kiribati ina eneo pana sana; umbali kati ya kisiwa cha magharibi kabisa cha Banaba hadi kisiwa cha mashariki kabisa cha Millenium ni kilomita 4,835; umbali wa kaskazini-kusini ni km. 1,973.

Eneo hili liko katikati ya Hawaii na Australia.

Karibu visiwa vyote havipiti kimo cha mita 2 juu ya UB. Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani na kupanda kwa uwiano wa bahari wataalamu wamekadiria ya kwamba nchi itazama kabisa katika hii karne ya 21.

Lugha na dini

Kuna lugha mbili tu nchini Kiribati, zote mbili zikiwa lugha rasmi, yaani Kiingereza na hasa Kikiribati.

Upande wa dini, linaongoza Kanisa Katoliki (56%), likifuatwa na madhehebu mbalimbali ya Uprotestanti.

Tazama pia


Kiribati  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

IkwetaMikronesiaNchi ya visiwaniPasifikiPolynesia

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kiboko (mnyama)NyaniHistoria ya KiswahiliNelson MandelaMwanza (mji)KipandausoMpira wa miguuOrodha ya Marais wa MarekaniPauline Philipo GekulRisalaWajitaMohammed Gulam DewjiHerufiEstrojeniMuhammadAmfibiaMsituMtandao wa kijamiiOrodha ya Marais wa ZanzibarMr. BlueBungeDamuJiniKodi (ushuru)DiwaniUturukiMbossoOrodha ya nchi za AfrikaUkoloni MamboleoVitenzi vishirikishi vikamilifuMivighaKishazi tegemeziVivumishi ya kuulizaWilaya za Tanzania 4KiingerezaIbadaVivumishi vya kumilikiWaziri wa Mambo ya Ndani (Tanzania)Nyanda za Juu za Kusini TanzaniaYouTubeOrodha ya milima mirefu dunianiMnyoo-matumbo MkubwaMnururishoVita Kuu ya Kwanza ya DuniaUmoja wa AfrikaAngahewaZiwa ViktoriaUandishi wa barua ya simuMbeyaYatimaWamasaiMV BukobaPaul MakondaMkoa wa Unguja Mjini MagharibiUmaskiniWallah bin WallahManiiUislamuKamusiVielezi vya mahaliBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiNambaKichochoChuo Kikuu cha Dar es SalaamUhuru wa TanganyikaWaheheHekimaMkoa wa PwaniMapambano ya uhuru TanganyikaPapaUajemiLenziTupac Shakur🡆 More