Kelvini

Kelvini ni Kizio cha SI kwa halijoto.

Alama yake ni K.

Kelvini

Kiwango chake kinaanza kwenye sifuri halisi (= -273.15 °C) pasipo mwendo wowote wa molekuli. Kizio kimoja cha Kelvini ni sehemu ya 1/273.16 ya tofauti kati ya sifuri halisi (=0 K) na kiwango utatu cha maji (+0.01 °C).

Skeli ya Kelvini ililinganishwa na skeli ya selsiasi yaani kizio kimoja cha Kelvini ni sawa na kizio kimoja cha Selsiasi.

Skeli ya Kelvini haina namba hasi (-) kwa sababu hakuna hali chini ya 0 K.

Jina limetokana na mwanafizikia Mwingereza William Thomson aliyekuwa na cheo cha Lord Kelvin (1824–1907).

Kelvini Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kelvini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AlamaHalijotoKizioSI

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Lionel MessiNdovuKuraniHekimaMkoa wa KigomaRafikiMjasiriamaliWazigulaMachweoBikiraTabianchiPemba (kisiwa)MbogaSkriniMaarifaAli KibaOrodha ya mito nchini TanzaniaNahauHoma ya dengiFasihi simuliziJeshiRitifaaAndalio la somoEe Mungu Nguvu YetuVitenzi vishiriki vipungufuWilaya ya HandeniBahari ya ShamuKarafuuMwaka wa KanisaSintaksiHistoria ya Afrika KusiniAngahewaUsawa bahari wastaniUNICEFTanganyika African National UnionAdhuhuriOrodha ya viongoziLugha ya kwanzaUandishi wa barua ya simuHekalu la YerusalemuUaWajitaUmoja wa Muungano wa AfrikaSemiKodi (ushuru)KiraiMusaMkunduZana za kilimoOrodha ya miji ya Afrika KusiniWashambaaKiingerezaBawasiriDubai (mji)Everest (mlima)KrioliKupatwa kwa MweziUongoziMakaburuTaasisi ya Taaluma za KiswahiliSenegalNomino za pekeeKenyaRedioMbuBruneiKalenda ya KiislamuMkoa wa MorogoroBaraPalestinaTendo la ndoaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaKamusi za KiswahiliAdolf HitlerJimbo Kuu la Dar-es-Salaam🡆 More