Jiji

Jiji ni mji mkubwa.

Kuna tofauti kati ya nchi na nchi wakati wa kueleza ni sifa gani pamoja na ukubwa gani vinavyofanya mji kuwa mji mkubwa au jiji.

Jiji
Jiji la New York ni maarufu kwa maghorofa yake marefu.
Jiji
Rio de Janeiro ni jiji maarufu kwa uzuri wake lakini sehemu ya wakazi wake hukalia mitaa ya vibanda.
Jiji
Jiji la Tampere nchini Ufini.

Mji mkubwa kwa kanuni za takwimu

Kimataifa kulikuwa na makubaliano kwenye mkutano wa kimataifa wa takwimu ya mwaka 1887 ya kuhesabu kila mji wenye wakazi zaidi ya 100,000 kama "mji mkubwa", miji kati ya wakazi 20,000 na 100,000 kama miji ya wastani na ile kati ya wakazi 5,000 na 20,000 kama miji midogo. Kufuatana na hesabu hiyo kulikuwa na miji mikubwa 1,700 duniani mnamo mwaka 2002.

Majiji ya Afrika ya Mashariki

Nchini Tanzania ni Dar es Salaam pamoja na Arusha, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga, inayoitwa "jiji"; nchini Kenya ni Nairobi pamoja na Mombasa na Kisumu. Kati ya miji hiyo ni Nairobi na Dar es Salaam pekee yenye wakazi zaidi ya milioni mbili.

Majiji makubwa ya Afrika

Jiji 
Lagos kutoka angani.
Jiji 
Kairo.
Jiji 
Kinshasa - Brazzaville.

Tags:

Mji

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Hali ya hewaWasukumaJohn MagufuliGhanaMadhehebuLava Lava (mwimbaji)Wikipedia ya KiswahiliPentekosteMadhara ya kuvuta sigaraBiasharaOrodha ya Magavana wa TanganyikaLakabuHoma ya iniBibliaUkimwiUfeministiKishazi tegemeziLahajaBob MarleyUhakiki wa fasihi simuliziMkoa wa MaraKitomeoAlfabetiNigeriaAli KibaNyanda za Juu za Kusini TanzaniaBarua rasmiDubaiHifadhi ya mazingiraVivumishi vya jina kwa jinaMuziki wa hip hopAdolf MkendaNembo ya TanzaniaJoseph Leonard HauleRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniBarabaraLugha za KibantuKajala MasanjaMapambano kati ya Israeli na PalestinaOrodha ya vitabu vya BibliaWilaya ya IlalaNg'ombeCleopa David MsuyaMohammed Gulam DewjiSahara ya MagharibiMwanzo (Biblia)Mshale (kundinyota)NyangumiMajira ya mvuaKengeViwakilishi vya pekeeMpira wa miguuMitume na Manabii katika UislamuHerufiMkoa wa KageraBabuInsha zisizo za kisanaaAfyaVielezi vya idadiMaudhuiMandhariRaiaMusaKanisa KatolikiUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaIdi AminMavaziNathariKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniHekimaMashariki ya KatiDiniTungoWanyaturuDolaHekaya za AbunuwasiKiwakilishi nafsiMachweo🡆 More