Herodoti

Herodoti wa Halikarnassos (kwa Kigiriki Ἡρόδοτος Ἁλικαρνᾱσσεύς, hēródotos halikarnāsséus; 484 KK - 425 KK) alikuwa mwandishi wa historia wakati wa Ugiriki ya Kale.

Herodoti
Herodoti wa Halikarnassos.

Maisha

Alikuwa mwenyeji wa mji wa Halikarnassos katika Asia Ndogo (Uturuki ya leo) akasafiri baadaye na kutembelea nchi nyingi, kame vile Italia, Bahari Nyeusi na Misri. Alikusanya habari nyingi kutoka kwa watu wengine pia.

Maandishi

Herodoti ni maarufu kwa sababu alikusanya habari nyingi za historia ya kale ya mataifa ya Asia, Afrika na Ulaya. Waroma wa Kale walimwona kama "Baba wa historia".

Sehemu kubwa ya maandishi yake yamepotea; yanajulikana tu kwa sababu yanatajwa katika vitabu vingine vya kale. Lakini historia yake ya vita kati ya Wagiriki na Wajemi wakati wa karne ya 5 na 6 KK imehifadhiwa.

Kwa jumla hata wataalamu wa leo hutegemea mara nyingi habari zilizokusanywa na Herodoti juu ya Babeli, Misri, Uajemi na Ugiriki ya Kale.

Vyanzo

Herodoti  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Herodoti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

425 KK484 KKHistoriaKigirikiMwandishiUgiriki ya Kale

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Muda sanifu wa duniaMuzikiMapenzi ya jinsia mojaUendelevuMfumo wa homoniBloguUsawa (hisabati)ZakayoPasakaMazoezi ya mwiliChakulaFigoIntanetiAfrika Mashariki 1800-1845Utamaduni wa KitanzaniaUvuviMajira ya mvuaStashahadaBarua pepeUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaUharibifu wa mazingiraJoseph Leonard HauleNevaDuniaSensaUnyanyasaji wa kijinsiaMuhammadUmoja wa MataifaVielezi vya idadiNungununguLava Lava (mwimbaji)MariooTabianchiDhahabuHoma ya matumboMiundombinu ya kijani katika nchi ya Kenya, mji wa NairobiKata za Mkoa wa Dar es SalaamVivumishi vya sifaFasihi simuliziNabii IsayaWahangazaSemantikiViwakilishiWilaya ya MboziAla ya muzikiMbuniNenoElimuMkoa wa DodomaWanyama wa nyumbaniHektariMatendo ya MitumeLigi ya Mabingwa UlayaUmaskiniBendera ya ZanzibarUchawiMkutano wa Berlin wa 1885UfinyanziMbuga wa safariNzigeRejistaMjombaSoga (hadithi)Zama za ChumaBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiBahashaItikadi kaliMshale (kundinyota)Maana ya maishaBungeDoto Mashaka BitekoSentensiChristina ShushoHistoria ya Wapare🡆 More