Bern (pia: Berne, Berna) ni mji wa shirikisho wa Uswisi na mji mkubwa wa nne katika nchi.
Bern ni pia mji mkuu wa jimbo la Bern. Iko kando la mto Aar. Hivyo ina nafasi ya mji mkuu ingawa shirikisho la Uswisi halina mji mkuu kikatiba.
Jiji la Bern | |
Mahali pa mji wa Bern katika Uswisi | |
Majiranukta: 46°57′0″N 7°26′0″E / 46.95000°N 7.43333°E | |
Nchi | Uswisi |
---|---|
Majimbo | Jimbo la Bern |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 123.000 |
Tovuti: www.bern.ch |
Wakazi walio wengi hutumia lugha ya Kijerumani kwa lahaja ya Bern.
Mji uliundwa mwaka 1191 ukapokea jina kutokana jina la Kijerumani la dubu ("Bär").
Mkazi mashuhuri wa Bern alikuwa Mjerumani Albert Einstein aliyeunda nadharia zake za fizikia ya kisasa alipofanya kazi mjini Bern
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswisi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bern kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Bern, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.