Mwezi wa Agosti ni mwezi wa nane katika Kalenda ya Gregori.
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Jina lake limetokana na jina la Kaisari Augustus wa Warumi. Kwa asili, mwezi huo wa Agosti ulikuwa mwezi wa sita katika kalenda ya Warumi, na jina lake lilikuwa Sextilis kulingana na neno la Kilatini sextus, maana yake ni "wa sita". Mwaka wa 153 KK, mwanzo wa mwaka ulitanguliza miezi miwili kutoka Machi kwenda Januari, na maana ya jina Sextilis ilipotea.
Agosti ina siku 31, na katika mwaka mrefu (wenye siku 366), inaanza na siku ya juma sawa na mwezi wa Februari.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Agosti, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.