Minecraft

Minecraft ni mchezo wa video uliofanywa na Markus Notch Persson wa Sweden.

Minecraft
Mtengenezaji wa Minecraft Markus "Notch" Persson huko GDC 2011

Mwaka 2015, Notch alistaafu na kuuza kampuni yake, Mojang, kwa Microsoft kwa $ bilioni 2.5.

Huu ni mchezo wa kuvunja matofali. Mchezaji anaweza kuvunja matofali yaliyo kokote duniani, pia anaweza kurudisha matofali na kuyaboresha zaidi. Mchezaji anatakiwa kutumia vifaa maalum kama vile shoka.

Mchezo huu ulitolewa kwenye Xbox 360 kama mchezo wa Xbox Live Arcade mnamo Mei 9, 2012. Ilitolewa kwa PlayStation 3 tarehe 17 Desemba 2013, na PlayStation 4 tarehe 4 Septemba 2013.

Minecraft Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Minecraft kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

MchezoSwedenVideo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Paul MakondaPanziHadhiraAsiliKichecheAlama ya barabaraniJiografia ya TanzaniaNembo ya TanzaniaKidoleOrodha ya Marais wa TanzaniaWasukumaUtoaji mimbaMikoa ya TanzaniaEe Mungu Nguvu YetuAfrikaNairobiVichekeshoWayahudiVielezi vya namnaDaktariKamusi za KiswahiliNahauMkoa wa PwaniUtandawaziFutiMaadiliAina za udongoOrodha ya Marais wa UgandaJakaya KikweteKitaluVipera vya semiTenziJamhuri ya Watu wa ZanzibarMkwawaBaraza la mawaziri Tanganyika 1961PonografiaYerusalemuJinaNg'ombeKishazi tegemeziMsituIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Moses KulolaDamuChuo Kikuu cha Dar es SalaamDemokrasiaMkoa wa MaraKorea KusiniLigi ya Mabingwa AfrikaUpepoKiimboAina za manenoShikamooVatikaniVladimir PutinWanyamaporiSumakuMatumizi ya LughaBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiUtafitiKiunzi cha mifupaOlduvai GorgeAslay Isihaka NassoroWakingaVivumishi ya kuulizaMbwana SamattaMarie AntoinetteKamusiKondomu ya kikeFiston MayeleNimoniaUtataNyota🡆 More