Sarayevo

Sarayevo (Kikroatia: Sarajevo; kikirili: Сарајево; Kituruki: Saraybosna) ni mji mkuu wa Bosnia na Herzegovina .

Mwaka 2003 ilikuwa na wakazi lakhi tatu.

Sarayevo
Mji wa Sarayevo
Sarayevo
Ramani ya Sarayevo

Mji uko kando la mto Miljacka kwenye bonde la milima ya Dinari. Sarayevo ina sifa ya ushirikiano mwena wa watu wa dini na madhehebu mbalimbali ndani yake kwa karne nyingi. Kuna misikiti ya Kiislamu, makanisa ya katoliki na Kiorthodoksi pamoja na sinagogi.

Lakini mwisho wa karne ya 20 Bosnia iliingia katika vita iliyosababishawa na kuporomoka kwa Yugoslavia na swali la mipaka ya Serbia.

Sehemu za Sarayevo ziliharibiwa na kujengwa upya.

Bosnia ilikuwa mahali ambako mauaji ya mfalme mteule wa Austria-Hungaria tarehe 28 Juni 1914 yalisababisa Vita Kuu ya Kwnaza ya Dunia.

Michezo ya Olympiki ya 1984 ilifanywa Sarayevo.

Viungo vya nje

Sarayevo  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sarayevo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Bosnia na HerzegovinaKikiriliKikroatiaKiturukiMji mkuu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KiraiUislamuRose MhandoAina za manenoPamboBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiHadithi za Mtume MuhammadLigi Kuu Tanzania BaraSaratani ya mlango wa kizaziVivumishi vya pekeeWabondeiHistoria ya KiswahiliSiasaJokofuMatamshiWanyama wa nyumbaniMashuke (kundinyota)Kiambishi awaliIsimujamiiUharibifu wa mazingiraJoyce Lazaro NdalichakoDagaaMariooMarekaniJoseph ButikuIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Bomu la nyukliaChe GuevaraKitomeoNdovuKupatwa kwa JuaNg'ombeDolaSalim KikekeAzimio la Kimataifa juu ya Haki za BinadamuPundaWabunge wa kuteuliwaReal MadridVieleziInshaHistoriaKiini cha atomuOrodha ya Watakatifu WakristoMafua ya kawaidaRisalaMilaMwanzo (Biblia)FasihiMauaji ya kimbari ya RwandaUgonjwa wa malaleKiimboMavaziDesturiKumamoto, KumamotoMnyamaJohn Samwel MalecelaUfeministiAla ya muzikiMethaliHuzuniMfumo wa homoniMashariki ya KatiOrodha ya volkeno nchini TanzaniaShairiVivumishi vya sifaKichochoKipepeoOrodha ya Marais wa BurundiUbepariKito (madini)YesuAlama ya uakifishajiWiki FoundationUnyevuangaKongosho🡆 More