S

S ni herufi ya 19 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa.

Alfabeti ya Kilatini
(kwa matumizi ya Kiswahili)
Aa Bb Cc ch Dd
Ee Ff Gg Hh Ii Jj
Kk Ll Mm Nn Oo Pp
Qq Rr Ss Tt Uu Vv
Ww Xx Yy Zz

Asili yake ni Sigma ya alfabeti ya Kigiriki.

Maana za S

Historia ya S

Kisemiti asilia
alama ya meno
Kifinisia
shin
Kigiriki
Sigma
Kietruski
S
Kilatini
S
S  S  S  S  S 

Asili ya herufi S ni miandiko iliyotangulia alfabeti ya Kilatini. Waroma walipokea mwandiko kutoka alfabeti ya Kigiriki kupitia alfabeti za Kiitalia za awali kama Kietruski. Wagiriki walipokea kutoka Wafinisia.

Wafinisia walikuwa na alama ya "shin" iliyokuwa kiasili picha iliyorahisishwa ya meno wakitumia alama tu kwa sauti ya "sh" na kuiita kwa neno lao kwa meno "shin". Wagiriki walichukua alama hiyo na kuiita "sigma" bila kujali maana asilia ya "meno". Kwao imekuwa sauti tu ya "s" kwa sababu hawakujua "sh".

Waitalia wa kale kama Waetruski wakapokea herufi wakigeuza mwelekeo wake. Waroma wakaichukua kutoka hapa lakini walilainisha kona kali kuwa S jinsi ilivyo hadi sasa.

Tags:

Alfabeti ya KigirikiAlfabeti ya KilatiniKiswahili

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Madawa ya kulevyaAfrika ya MasharikiKamusi ya Kiswahili - KiingerezaMofuMiundombinuWazaramoJKT TanzaniaUtamaduni wa KitanzaniaAgano JipyaGeorge WashingtonHakiAlama ya uakifishajiNyegeMamaVichekeshoSimbaMaghaniChatGPTMachweoDaktariTiba asilia ya homoniHektariHoma ya mafuaReli ya TanganyikaOrodha ya makabila ya TanzaniaJiniUmmy Ally MwalimuNadhariaKiunzi cha mifupaTendo la ndoaVivumishi vya -a unganifuUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiUtumbo mpanaAfrika KusiniOrodha ya miji ya Afrika KusiniLughaMlo kamiliUtandawaziNguvaLugha fasahaHistoria ya WapareKitenziKomaHifadhi ya SerengetiHoma ya iniUkooYoung Africans S.C.RiwayaBiblia ya KikristoJohn Raphael BoccoAslay Isihaka NassoroNdovuLionel MessiHadhiraUfisadiSamia Suluhu HassanBidiiMusaAyoub LakredTasifidaUtenzi wa inkishafiAsili ya KiswahiliWakingaKiambishi awaliC++Wanyama wa nyumbaniBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiHistoria ya ZanzibarMbagalaMichael JacksonWachaggaKarafuuKukuHurafa🡆 More