Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Mondo, kizongo au suzi (Leptailurus serval) ni mnyama mbuai wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae. Mondo katika Hifadhi ya Serengeti Kichwa Wachanga... |
Simbamangu (Kusanyiko Mbegu za mnyama) Simbamangu (Caracal caracal) ni mnyama mbuai wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae. Wiki Commons ina media kuhusu: Caracal caracal The Caracal... |
Paka Dhahabu (Kusanyiko Mbegu za mnyama) Paka dhahabu, paka dhahabu wa Afrika au paka-msitu (Profelis aurata) ni mnyama mbuai wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae. Wiki Commons ina... |
Jagwa (Kusanyiko Mbegu za mnyama) (kutoka Kireno: jaguar, Kisayansi: Panthera onca) au chui wa Amerika ni mnyama mbuai mkubwa kama chui anayeishi Amerika na aliye na manyoya ya manjano na... |
Duma ni mnyama mbuai aliyemo katika jamii ya paka (Felinae) ambaye hupatikana Afrika na kidogo sehemu za Asia. Chakula chake ni wanyama jamii ya swala... |
Paka-mchanga (Kusanyiko Mbegu za mnyama) Paka-mchanga (Felis margarita) ni mnyama mbuai wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae. Spishi hii inatokea majangwa ya Afrika ya Kaskazini, Uarabuni... |
Paka-maji (Kusanyiko Mbegu za mnyama) Paka-maji (Felis chaus nilotica) ni mnyama mbuai wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae. Paka huyu ni nususpishi ya paka-mwitu (Felis chaus) na... |
Paka-pori (Kusanyiko Mbegu za mnyama) Paka-pori (Felis lybica) ni mnyama mbuai wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae. Paka huyu ana msambao mkubwa sana na anatokea Afrika na Asia ya... |
Paka Miguu-myeusi (Kusanyiko Mbegu za mnyama) Paka miguu-myeusi (Felis nigripes) ni mnyama mbuai wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae. Paka huyu ni mdogo kuliko paka wengine wa Afrika na anatokea... |
Fungo-miti wa Afrika (Kusanyiko Mbegu za mnyama) mnyama mbuai mdogo, spishi pekee ya jenasi yake na ya familia yake Nandiniidae. Hii ni spishi ya misitu mizito ya Afrika ambapo huishi mitini. Mnyama... |
yao na hizi zina daima madoa au milia ya rangi kali ili kuonya wanyama mbuai. Takriban salamanda wote wanatokea nusudunia ya kaskazini, lakini spishi... |
anayopata msituni. Kwa kuwa hukiakia msituni usiku na ni adimu, kiumbe huyu ni mnyama mgumu kuchunguza porini. Viboko vibete hawakujulikani nje ya Afrika ya Magharibi... |
Bundi (Kusanyiko Mbegu za mnyama) Bundi ni oda ya ndege walanyama (mbuai) wanaowinda mara nyingi saa za usiku hasa wakati wa giza. Ndani yake kuna familia mbili: familia ya Strigidae familia... |
Mititi au vilio ni ndege mbuai wa jenasi mbalimbali katika familia Strigidae. Kwa kawaida ndege hawa ni wadogo kuliko bundi (sm 16-30) na wana rangi ya... |
mabawa-vena, oda ambaye ndani yake wadudu hawa waliainishwa zamani. Wao ni wadudu mbuai na hula wadudu wengine wadogo, k.m. vidukari na matitiri. Hata lava hula... |
Kakakuona (Kusanyiko Mbegu za mnyama) wamepambika na magamba na wana mkia mrefu. Wakitaka kujikinga dhidi ya wanyama mbuai wanajikunja. Huishi katika shimo la kina cha hadi mita 3.5 au katika mti... |
Vitaumande ni ndege mbuai wa jenasi mbalimbali wa nusufamilia Surniinae katika familia Strigidae. Ndege hawa ni wadogo kuliko bundi (sm 12-28) na wana... |
kinagonga didhi ya tabaka la chini na mdudu atupwa juu kwa nguvu mbali na mbuai au hatari nyingine. Wadudu hawa hula maada ya viumbehai na vijiumbe. Entomobrya... |
na wanaonekana kutumia hii kama maarifa ya kuzuia mbuai. Mkia huvunjika kwa urahisi kusudi mnyama achopoke. Ukiwa umepoteza haukui tena. Ngozi hupasuka... |
Panya manyoya-marefu (Lophiomys imhausi) ni mnyama mgugunaji wa nusufamilia Lophiomyinae katika familia Muridae anayetokea Afrika ya Mashariki. Mwili wa... |