Iraq

Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya

Kuna ukurasa unaoitwa "Iraq" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.

Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)
  • Thumbnail for Iraq
    Iraq (kwa Kiarabu العراق, al-ʿIrāq) ni nchi ya Asia ya Magharibi inayokaliwa hasa na Waarabu (75-80%) lakini pia na wengine, hasa Wakurdi 15%). Inajumlisha...
  • Historia ya Iraq inahusu eneo ambalo leo linaunda Jamhuri ya Iraq. Mesopotamia ina historia ndefuː ilikuwa kitovu cha ustaarabu wa binadamu, mahali pa...
  • Thumbnail for Baghdad
    Baghdad (Kusanyiko Miji ya Iraq)
    Baghdad (Kar.: بغداد‎ ​) ni mji mkuu pia mji mkubwa nchini Iraq. Iko kando la mto Tigris. Baghdad iliundwa na Waarabu badala ya mji mkuu wa kale Ktesiphon...
  • Thumbnail for Hidekeli
    Hidekeli (Kusanyiko Mito ya Iraq)
    Iraq. Baada ya kuvuka milima ya Kurdistan inapita mji wa Mossul na kuingia katika tambarare ya Mesopotamia. Inafika Baghdad na kuendelea katika Iraq ya...
  • Thumbnail for Ghuba ya Uajemi
    Utajiri huo umesababisha pia vita kadhaa kama vile vita ya Iran-Iraq, vita ya Iraq-Kuwait, vita ya ghuba. Eneo lote la ghuba ni 233,000 km². Maji matamu...
  • Thumbnail for Frati
    Frati (Kusanyiko Mito ya Iraq)
    Uturuki unaingia katika tambarare ya jangwa la Shamu na kuendelea katika Iraq unapopita kwenye maghofu ya Babeli. Pamoja na Hidekeli (Tigri), ambao pia...
  • Thumbnail for George W. Bush
    uliofuata Bush aliuamua kwa sababu zisizoeleweka vema kushambulia pia Iraq ingawa Iraq haikushiriki katika mashambulio ya 11 Septemba wala kuwa na uhusiano...
  • Thumbnail for Asia ya Magharibi
    kama zifuatazo: Armenia Bahrain Kupro Sinai (rasi) (Misri) Palestina Iran Iraq Israel Jordan Kuwait Lebanon Oman Pakistan (Baluch pekee) Qatar Saudia Syria...
  • watumwa wa Zanj nchini Iraq unakandamizwa na jeshi la khalifa wa Waabbasi Agosti - Ali bin Muhammad kiongozi wa watumwa wa Zanj katika Iraq aliyejitangaza kuwa...
  • Thumbnail for Daish
    Daish (Kusanyiko Historia ya Iraq)
    ad-Dawlah al-Islāmiyah fīl-ʿIrāq wash-Shām yaani Dola la Kiislamu katika Iraq na Shamu); maarufu pia kama IS, na awali ISIL au ISIS (kutokana na tafsiri...
  • Sabiha al-Shaykh Da'ud (Kusanyiko Wanasheria wa Iraq)
    kuhitimu sheria nchini Iraq na mwanaharakati mashuhuri wa haki za wanawake. Yeye na Zakia Hakki walikuwa majaji wa kwanza wa kike nchini Iraq mtawalia mwaka wa...
  • Hanaa Edwar (Kusanyiko Wanaharakati wa Iraq)
    Hanaa Edwar (alizaliwa 1946) ni mwanaharakati wa haki za wanawake wa Iraq. Ndiye mwanzilishi na Katibu Mkuu wa Iraqi Al-Amal Association, na mwanzilishi...
  • Thumbnail for Mosul
    Mosul (Kusanyiko Miji ya Iraq)
    al-Mawṣil, el-Mōṣul; kwa Kikurdi مووسڵ, kwa Kiaramu ܡܘܨܠ, Māwṣil) ni mji wa Iraq kaskazini, kilometa 400 hivi mbali na Baghdad, kwenye ukingo wa magharibi...
  • Thumbnail for Azzam Alwash
    Azzam Alwash (Kusanyiko Wanaume wa Iraq)
    mwanamazingira kutoka Iraq. Alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo 2013, haswa kwa juhudi zake za kurejesha mabwawa ya chumvi kusini mwa Iraq ambayo yalikuwa...
  • Kiazeri-Kusini (Kusanyiko Lugha za Iraq)
    Kiazeri-Kusini ni lugha ya Kiturki nchini Azerbaijan, Uajemi, Uturuki, Iraq na Syria inayozungumzwa na Waazeri. Ni lugha tofauti na Kiazeri-Kaskazini ambayo...
  • klabu ya Al-Zawraa SC katika Ligi Kuu ya Iraq. Amezaliwa nchini Moroko, na anachezea timu ya taifa ya Iraq. El Ani alizaliwa nchini Moroko na baba Mwiraki...
  • Thumbnail for Sumeri
    Sumeri (Kusanyiko Historia ya Iraq)
    tamaduni za juu za kwanza katika Asia ya Magharibi na hasa Mesopotamia (Iraq ya leo). Labda ilikuwa utamaduni wa kwanza wa kujenga miji. Sumeri ilianzishwa...
  • Kikabardia (Kusanyiko Lugha za Iraq)
    Kikabardia ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi, Uturuki, Syria, Iraq na Yordani inayozungumzwa na Wakabardia. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji...
  • Kiadyghe (Kusanyiko Lugha za Iraq)
    ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi, Uturuki, Yordani, Syria, Iraq na Israel inayozungumzwa na Waadyghe. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa...
  • Thumbnail for Ur
    Ur (Kusanyiko Historia ya Iraq)
    Ur ilikuwa mji katika Mesopotamia ya kale. Mahali pake ni katika Iraq ya leo kusini ya Baghdad. Inaaminiwa ilikuwa kati ya miji ya kwanza kabisa duniani...
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Uandishi wa barua ya simuKalendaOsama bin LadenBaraza la mawaziri TanzaniaMkwawaNenoWhatsAppUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius NyerereJumuiya ya MadolaMawasilianoKamusi elezoAzimio la ArushaReal BetisAfrika ya MasharikiMalipoSteve MweusiUtandawaziKitenzi kikuu kisaidiziMsengeSoko la watumwaRwandaMaji kujaa na kupwaSimba S.C.Jamhuri ya Watu wa ChinaFananiNelson MandelaWanyamweziUmaskiniSayansiSomo la UchumiNairobiVihisishiUlumbiTenziBotswanaSentensiMsukuleMaradhi ya zinaaChama cha MapinduziFonetikiUgonjwa wa kupoozaItifakiVidonda vya tumboRoho MtakatifuJinsiaKimondo cha MboziMofolojiaMisemoVitenzi vishirikishi vikamilifuViwakilishi vya pekeeJumuiya ya Afrika MasharikiPicha takatifuLahajaNabii IsayaUlayaUfaransaAlama ya uakifishajiWiki CommonsJohn Raphael BoccoAunt EzekielUundaji wa manenoAlfabetiOrodha ya mikoa ya Tanzania na MaendeleoNafsiMizimuMtiTovutiKiwakilishi nafsiChombo cha usafiri kwenye majiTupac ShakurBukayo SakaSaddam HusseinAmri KumiMuungano wa Tanganyika na Zanzibar🡆 More